MPANGO WA WATOTO WALIOKO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU.
Mpango wa watoto walioko kwenye mazingira magumu. Chama cha Biblia kupitia mpango huu kimeendelea kuwafikia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa kuwapatia mafunzo ya kuwajengea uwezo katika masuala ya; Elimu ya afya ya uzazi, UKIMWI, Jinsi ya kumtambua...
MPANGO WA BIBLIA YA NUKTA NUNDU.
Mpango wa Biblia ya nukta nundu. Chama cha Biblia cha Tanzania kinaendelea na mpango huu wa kuwafikia wasiiona katika wilaya ya Kongwa-Dodoma. Chama cha Biblia kwa kushirikiana na kanisa la Anglican Kongwa kimeweza kuanzisha maktaba kwa ajili ya Biblia ya Nukta nundu...
MKUTANO MKUU WA MWAKA (AGM) 2021
Taarifa ya Utendaji na Fedha kwa mwaka wa 2021. Imewasilishwa kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM) katika ukumbi wa Mikutano wa K.K.K.T - Dodoma. Na Mkutano huo uliongozwa na Rt. Rev Mark W. Malekana Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Chama cha Biblia cha Tanzania...
Mradi wa Talking Bible
MRADI WA TALKING BIBLE Mradi huu wa Talking Bible umepokelewa vizuri kwenye makanisa ya kigoma, na idadi ya makundi tuliyonayo ni 142. Pia mradi huu unaendelea vizuri na umeleta mabadiriko makubwa kwenye makanisa na kwenye jamii. Ripoti toka mkoa wa Kigoma,...
Mkutano Mkuu wa Mwaka 2021
Katibu Mkuu wa Chama cha Biblia cha Tanzania Dkt. Alfred E. Kimonge anawakaribisha wanachama wa Chama cha Biblia cha Tanzania walio hai (ambao wamelipa michango yao ya uanacha wa kila mwaka) kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Chama cha Biblia cha Tanzania (Annual General...
CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA CHA SHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Heri ya Siku ya Wanawake Duniani (IWD)Watoto katika kituo cha SAAFAD Membe. Kituo hiki kiko Kijiji cha Membe, Kata ya Membe na Wilaya ya Chamwino katika Mkoa wa Dodoma.Katika kusherekea sikukuu ya wanawake Duniani, wanawake wa Chama cha Biblia cha Tanzania,...
Be the first to get News and Updates from us by subscribing.
Get in Touch. Get Involved.
People are at the heart of what we do.