by The Bible Society of Tanzania | Jul 19, 2023 | News, Refugees
Biblia kwa Wafungwa Kanda ya Kaskazini Habari Kamili. Chama cha Biblia cha Tanzania kimeendelea na huduma yake ya kugawa Biblia kwa baadhi ya magereza hapa nchini. Chama kimeendelea kutoa huduma hiyo kutokanana sadaka na michango ya wanachama wake, wadau mbali mbali...
by The Bible Society of Tanzania | May 24, 2023 | Literacy News, News
MPANGO WA KISOMO CHA WATU WAZIMA – LITERACY FOR WOMEN IN AFRICA. Habari Kamili. Chama cha Biblia cha Tanzania kinaendelea kutekeleza mpango wa Kisomo cha elimu ya watu wazima katika wilaya ya Kilosa na Gairo kwenye vijiji 15 vilivyochaguliwa wakati wa kuanzishwa...
by The Bible Society of Tanzania | May 16, 2023 | AGM, News
MKUTANO MKUU WA 37 WA CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA Habari Kamili. Mwenyekiti wa Bodi ya Chamacha Biblia Tanzania, Askofu Mkuu Mark Walwa Malekana amesema chama hicho kitajitahidi kuendelea kuchapisha na kusambaza neno la Mungu ili liweze kumfikia kwa kila mtu na...
by The Bible Society of Tanzania | Apr 25, 2023 | News, Talking Bible
Taasisi yetu kwa mwaka uliopita uliambatana na Baraka zake. Muungano wetu wa vyama vya Biblia ulimwenguni ulituweka katika mpango wa kuwafikia watu milioni moja ulimwenguni walio katika mazingira magumu au walengwa ambao hawana uwezo wa kununua Biblia. Tanzania...
by The Bible Society of Tanzania | Jan 19, 2023 | News, Translation News
Kimachame Bible Launch The launch of the Bible in the Kimashami language (Kichagga of Machame), was held in the Congregation of Hai in 04/12/2022. Bishop Dr Shoo said many people have been neglecting their languages and said it is good to learn and develop their...
by The Bible Society of Tanzania | Nov 24, 2022 | News, Translation News, Uzinduzi
Mkuu wa KKKT ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini, Dkt. Fredrick Shoo, amewataka Wakristo kuitunza na kuindeleza lugha zao za asili kwani ndio msingi na urithi walio nao. Askofu Dkt. Shoo aliyasema hayo wakati wa Uzinduzi wa Biblia ya lugha ya Kimochi...