MG 1262 scaled

Mkutano Mkuu (AGM) 2023

Katika zama ambazo habari potofu kuhusu Neno la Mungu zimeenea, ni muhimu kusoma Biblia zenye nembo ya Chama cha  Biblia cha Tanzania. Hii inahakikisha uhalisi na ufuasi wa mafundisho ya kweli ya Biblia.Wakati wa mkutano huo uliofanyika Mei 17, 2024, Askofu Mark...
MG 1257 scaled

Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM) 2023

Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 2023 (AGM) wa Jumuiya ya Biblia Tanzania ulikuwa tukio muhimu sana, uliwaleta pamoja wanachama na wadau ili kujadili mustakabali wa shirika. Mkutano huo uliofanyika mjini Dodoma Mei 17, 2024 ulilenga mipango ya kimkakati na jitihada za...
MOSTLY scaled

Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM) 2023

Mark your calendars for an important gathering of the Bible Society of Tanzania members on May 17, 2024, starting at 9 AM at ELCT-Dodoma Conference Hall.May 17, 2024The Bible Society of Tanzania invites all active members to attend the Annual General Meeting (AGM)...
IMG 5102 scaled

SAUTI YA VIJANA WASAMARIA.

SAUTI YA VIJANA WASAMARIA.Program hii inatekelezwa na Chama cha Biblia cha Tanzania kwa kushirikiana na dawati la vijana (Africa Youth Service -United Bible Society). Madhumuni ya programu ni kuwasaidia, kuandaa, na kuwajengea vijana wadogo miaka 9-24 uwezo wa kufanya...
18 scaled

MAHAFALI YA SITA YA LWA KIKAGURU

LITERACY FOR WOMEN IN AFRICA PROJECT.TAARIFA FUPI YA MPANGO & MAHAFALI YA SITA YA MPANGO HUUMahafali ya sita ya mpango huu yalifanyika tarehe 17.2.2024 katika Ukumbi wa Nazarethi, Gairo mjini ambapo wanakisomo 421 walitunukiwa vyeti vya kuhitimu Kisomo cha watu...
Wafungwa wa Arusha Mjini 2

Biblia kwa Wafungwa Kanda ya Kaskazini

Biblia kwa Wafungwa Kanda ya KaskaziniHabari Kamili.Chama cha Biblia cha Tanzania kimeendelea na huduma yake ya kugawa Biblia kwa baadhi ya magereza hapa nchini. Chama kimeendelea kutoa huduma hiyo kutokanana  sadaka na michango ya  wanachama wake, wadau mbali mbali...
Dr Suzanne kutoka SIL Kenya akiwa na waalimu wa Chikagulu wakati wa mafunzo scaled

MPANGO WA KISOMO CHA WATU WAZIMA – LITERACY FOR WOMEN IN AFRICA.

MPANGO WA KISOMO CHA WATU WAZIMA - LITERACY FOR WOMEN IN AFRICA.Habari Kamili.Chama cha Biblia cha Tanzania kinaendelea kutekeleza mpango wa Kisomo cha elimu ya watu wazima katika wilaya ya Kilosa na Gairo kwenye vijiji 15 vilivyochaguliwa wakati wa kuanzishwa kwa...
MG 0201 scaled

MKUTANO MKUU WA 37 WA CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA

MKUTANO MKUU WA 37 WA CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIAHabari Kamili. Mwenyekiti wa Bodi ya Chamacha Biblia Tanzania, Askofu Mkuu Mark Walwa Malekana amesema chama hicho kitajitahidi kuendelea kuchapisha na kusambaza neno la Mungu ili liweze kumfikia kwa kila mtu na...
20220713 140251 1 scaled

Uenezaji wa Maandiko kwa 2022

Taasisi yetu kwa mwaka uliopita uliambatana na Baraka zake. Muungano wetu wa vyama vya Biblia ulimwenguni ulituweka katika mpango wa kuwafikia watu milioni moja ulimwenguni walio katika mazingira magumu au walengwa ambao hawana uwezo wa kununua Biblia. Tanzania...
16 scaled

Kimachame Bible Launch

The launch of the Bible in the Kimashami language (Kichagga of Machame), was held in the Congregation of Hai in 04/12/2022. Bishop Dr Shoo said many people have been neglecting their languages ​​and said it is good to learn and develop their native languages. At the...

Help Us To Fulfill Our Mission

 

God’s word open for all

To make available and encourage the use of Holy Scriptures to every person in a language each can understand and in an appropriate format at a price they can afford and in partnership with the Church and other stakeholders.

LISTEN

WATCH

READ

DOWNLOAD

Buy

Other

Make a Donation

Buy a Bible

Watch a Message About Our Campaigns

Completed Bible Translation

Bible Reading Plans

What We Do

Support us

You can make an incredible difference…

BIBLE TRANSLATION

We translate the Holy Scriptures into various local languages of Tanzania. Currently, 13 complete local language Bibles have been translated and 41 others have New Testament Bibles.

BIBLE PRODUCTION

We’re constantly innovating and partnering with like-minded organisations to ensure people in and out Tanzania are able to access the Bible in a format that is accessible and engaging for them.

BIBLE DISTRIBUTION

We ensure that every person in Tanzania has access to Scriptures in a language he can understand and at a price he can afford. We do offer free shipping within Tanzania at our cost.

BIBLE ENGAGEMENT

We want to remove barriers between people and their ability to interact with the Bible. So, we help people to engage with the scriptures, we design and implement various programs. 

We Have the Power to Impact Our Future with the Bible.

Chama cha Biblia cha Tanzania kimetoa msaada wa Biblia Takatifu kwa wafungwa na mahabusu ya Magereza ya Segerea, Ukonga na Keko yote ya jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Gereza la Segerea, SSP. Daniel Mwakyoma amesema ukosefu wa uzio na upungufu wa nyumba za watumishi ni miongoni mwa changamoto zinazolikabili gereza hilo. Makabidhiano ya msaada huo upande wa Gereza la Segerea yamefanyika mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Arch. Ng’wilabuzu Ludigija na Maafisa Waandamizi wa gereza hilo.

What Happened

Mkutano Mkuu (AGM) 2023

Mkutano Mkuu (AGM) 2023

Katika zama ambazo habari potofu kuhusu Neno la Mungu zimeenea, ni muhimu kusoma Biblia zenye nembo ya Chama cha  Biblia cha Tanzania. Hii inahakikisha uhalisi na ufuasi wa mafundisho ya kweli ya Biblia.Wakati wa mkutano huo uliofanyika Mei 17, 2024, Askofu Mark...

Our Events

Support our work

Featured Initiatives || Taarifa na Matukio

Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM) 2023

Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM) 2023

Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 2023 (AGM) wa Jumuiya ya Biblia Tanzania ulikuwa tukio muhimu sana, uliwaleta pamoja wanachama na wadau ili kujadili mustakabali wa shirika. Mkutano huo uliofanyika mjini Dodoma Mei 17, 2024 ulilenga mipango ya kimkakati na jitihada za...

Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM) 2023

Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM) 2023

Mark your calendars for an important gathering of the Bible Society of Tanzania members on May 17, 2024, starting at 9 AM at ELCT-Dodoma Conference Hall.May 17, 2024The Bible Society of Tanzania invites all active members to attend the Annual General Meeting (AGM)...

SAUTI YA VIJANA WASAMARIA.

SAUTI YA VIJANA WASAMARIA.

SAUTI YA VIJANA WASAMARIA.Program hii inatekelezwa na Chama cha Biblia cha Tanzania kwa kushirikiana na dawati la vijana (Africa Youth Service -United Bible Society). Madhumuni ya programu ni kuwasaidia, kuandaa, na kuwajengea vijana wadogo miaka 9-24 uwezo wa kufanya...

Ongoing translation projects

We have six ongoing translation projects.

Nyamwezi

KIFIPA

KINYIHA

Chasu

KIHA

Other

Ways to Get Involved

Our mission is to make available and encourage the use of Holy Scriptures to every person in a language each can understand and in an appropriate format at a price they can afford and in partnership with the Church and other stakeholders.

Buy a Bible

 English Bibles

Swahili Bibles

Children Bibles

Vernacular Bibles

Make a Donation

Your Support make a different,

Help us to;

Translate the Bibles into Tanzanians languages.

Distribute Bibles to Children and others in need.

Read our Bibles online

We have Bibles in different Tanzanians languages that you can read online. You can also download Bible reading plans to guide you through the Bible.

Become a Member

Join a group of dedicated supporters by subscribing to our membership to help us fullfil our mission.

MEMBERSHIP REGISTRATION

Join  a dedicated group of supporters

BECOME A BST MEMBER

Unaweza kukisaidia Chama kwa kutoa muda wako na ujuzi wako wakati wowote kukisaidia Chama katika azma ya Kutafsiri, Kuchapisha, Kueneza na katika kuhamasisha watu kutoa  kumfidia msomaji apate Biblia kwa bei nafuu.

Get Involved

Upcoming Events

12

Mei

13

Mei

Mkutano Mkuu wa Mwaka 2022

Katibu Mkuu wa Chama cha Biblia cha Tanzania Dkt. Alfred E. Kimonge anawakaribisha wanachama wa Chama cha Biblia cha Tanzania walio hai.

Mkutano Mkuu wa Mwaka 2021

Katibu Mkuu wa Chama cha Biblia cha Tanzania Dkt. Alfred E. Kimonge anawakaribisha wanachama wa Chama cha Biblia cha Tanzania walio hai Maelezo zaidi

24

Oct

TANGAZO LA UZINDUZI WA BIBLIA YA BRAILLE.

Chama cha Biblia Tanzania kinawakaribisha wanachama wake na wakristo wote walioko mkoa wa Dodoma kwenye uzinduzi wa Biblia ya Braille (Biblia ya wasioona).

Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika katika kanisa Anglikana St. Thomas Kongwa mjini, siku ya Jumapili ya 24.10.2021 kuanzia saa 3:00 asubuhi kwenye ibada ya asubuhi hadi saa 08:00 mchana.

 More Details

27

Jun

Uzinduzi wa Biblia ya Kisukuma

Tunakualika Karibu Ushiriki nasi katika Uzinduzi wa Biblia ya Kisukuma Jumapili, Juni 27, 2021 Mahali: KANISA LA AIC MISSION MAKONGOLO – MWANZA Saa 08:00 Mchana – 12:00 Jioni.   More Details

22

Nov

Uzinduzi wa Agano jipya la Kiha

Tunakualika katika: Uzinduzi wa Agano Jipya la Kiha (INSEZERANO NSHASHA)  Mahali: Kanisa Katoliki Kasulu Mjini – Kigoma Saa 03:00 Asubuhi – 08:00 Mchana  More Details

View the Full Calendar

“But for this Book we could not know right from wrong. I believe the Bible is the best gift God has ever given to man.”

- Abraham Lincoln

Our Partners & Sponsors

UBS
ABS LOGO2
BIBLE ONLINE
FCBH
TalkingBibles
Finnish Bible Society

Give Today

Children

Prison

Membership

Youth

Blind

Other

Get In Touch

× How can I help you?