MKUTANO MKUU WA 37 WA CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA
MKUTANO MKUU WA 37 WA CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIAHabari Kamili. Mwenyekiti wa Bodi ya Chamacha Biblia Tanzania, Askofu Mkuu Mark Walwa Malekana amesema chama hicho kitajitahidi kuendelea kuchapisha na kusambaza neno la Mungu ili liweze kumfikia kwa kila mtu na...
Uenezaji wa Maandiko kwa 2022
Taasisi yetu kwa mwaka uliopita uliambatana na Baraka zake. Muungano wetu wa vyama vya Biblia ulimwenguni ulituweka katika mpango wa kuwafikia watu milioni moja ulimwenguni walio katika mazingira magumu au walengwa ambao hawana uwezo wa kununua Biblia. Tanzania...
Kimachame Bible Launch
The launch of the Bible in the Kimashami language (Kichagga of Machame), was held in the Congregation of Hai in 04/12/2022. Bishop Dr Shoo said many people have been neglecting their languages and said it is good to learn and develop their native languages. At the...
Uzinduzi wa Biblia ya lugha ya Kimochi
Mkuu wa KKKT ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini, Dkt. Fredrick Shoo, amewataka Wakristo kuitunza na kuindeleza lugha zao za asili kwani ndio msingi na urithi walio nao. Askofu Dkt. Shoo aliyasema hayo wakati wa Uzinduzi wa Biblia ya lugha ya Kimochi...
MPANGO WA KUWAPATIA MAANDIKO MATAKATIFU (BIBLIA) WATOTO, VIJANA NA WAFUNGWA MAGEREZANI NCHINI TANZANIA.
MPANGO WA KUWAPATIA MAANDIKO MATAKATIFU (BIBLIA) WATOTO, VIJANA NA WAFUNGWA MAGEREZANI NCHINI TANZANIA. 1. UTANGULIZI. Chama cha Biblia cha Tanzania (CBT) ni shirika la Kikristo lililoandikishwa mwaka 1970 na kupewa nambari S0 5722. Ni mwanachama wa Muungano waVyama...
MPANGO WA ELIMU YA WATU WAZIMA.
Mpango wa elimu ya watu wazima. Chama cha Biblia kimeeendelea na mpango huu wa elimu ya watu wazima katika (w) ya Kilosa na Gairo-Morogoro kwa lengo la kuwasaidia wanawake na wasichana ambao hawakubahatika kwenda shule kwa sababu tofauti tofauti waweze kusoma na...
Be the first to get News and Updates from us by subscribing.
Get in Touch. Get Involved.
People are at the heart of what we do.