by The Bible Society of Tanzania | Jun 8, 2022 | AGM, News
Taarifa ya Utendaji na Fedha kwa mwaka wa 2021. Imewasilishwa kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM) katika ukumbi wa Mikutano wa K.K.K.T – Dodoma. Na Mkutano huo uliongozwa na Rt. Rev Mark W. Malekana Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Chama cha Biblia cha...
by The Bible Society of Tanzania | May 10, 2022 | Talking Bible
MRADI WA TALKING BIBLE Mradi huu wa Talking Bible umepokelewa vizuri kwenye makanisa ya kigoma, na idadi ya makundi tuliyonayo ni 142. Pia mradi huu unaendelea vizuri na umeleta mabadiriko makubwa kwenye makanisa na kwenye jamii. Ripoti toka mkoa wa Kigoma,...
by The Bible Society of Tanzania | May 6, 2022 | News, UpComingEvent
Katibu Mkuu wa Chama cha Biblia cha Tanzania Dkt. Alfred E. Kimonge anawakaribisha wanachama wa Chama cha Biblia cha Tanzania walio hai (ambao wamelipa michango yao ya uanacha wa kila mwaka) kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Chama cha Biblia cha Tanzania (Annual General...
by The Bible Society of Tanzania | Mar 11, 2022 | Msamaria Mwema, News
Heri ya Siku ya Wanawake Duniani (IWD) Watoto katika kituo cha SAAFAD Membe. Kituo hiki kiko Kijiji cha Membe, Kata ya Membe na Wilaya ya Chamwino katika Mkoa wa Dodoma. Katika kusherekea sikukuu ya wanawake Duniani, wanawake wa Chama cha Biblia cha Tanzania,...
by The Bible Society of Tanzania | Dec 5, 2021 | News
The Bible Society of Tanzania celebrates the launch of the full Braille Bible. It is in the city of Kongwa, located in Dodoma Region of the capital city of Tanzania that the majority of the visual impaired live. One of the characteristics of this translation is that...