Tunashukuru Sana kwa jinsi Chama Cha Biblia cha Tanzania kinavyojali na kuwahudumia watu mbalimbali. Pichani ni sehemu ya wakristo wa Parish ya Iringa Road KKKT. Ambao wanafundishwa masomo ya uponyaji wa vidonda vya nafsi.Masomo haya ni kwa faida yao nabaadae wawe viongozi wa wenzao katika kuanzisha na kuendeleza vikundi hivi vya uponyaji wa nafsi.
Bible Verse of the Day
And he said unto them, Take heed, and beware of covetousness: for a man's life consisteth not in the abundance of the things which he possesseth.
News and Posts
- Uzinduzi wa Biblia ya Kihehe July 3, 2025
- UZINDUZI WA BIBLIA YA KIKAGULU June 17, 2025
- Mkutano Mkuu wa 39 wa Chama cha Biblia cha Tanzania wa Mwaka 2024 June 16, 2025
- Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM) 2024 May 16, 2025
- Maafali ya Saba ya Mradi wa Literacy for Women in Africa January 30, 2025
