Bwana wetu Yesu Kristo asifiwe sana… Watumishi wa Mungu..! Chama cha Biblia cha Tanzania…. Kina kukumbusha mchango wako wa uanachama wa kila mwaka. Na Mungu akubariki sana. Na namba ya Kutumia kama hauwezi kufika Ofisini …Ni 890 890. Mtandao ni wa vodacom na jina ni Chama cha Biblia cha Tanzania… Na jinsi ya kutuma fedha yako fuatilia picha iliyoko hapa chini.
Tangazo kwa Wanachama Wote Wa Chama Cha Biblia cha Tanzania
by The Bible Society of Tanzania | Dec 3, 2018 | Appeal, Fundraisers, News | 0 comments