Chama cha Biblia cha Tanzania kupitia uongozi wake, kinawatangazia  na kuwakaribisha wanachama wake wote wakiwemo wakurugenzi wa Bodi wa chama, wafanyakazi, na  wadhamini wake kuhudhuria mkutano  mkuu wa mwaka 2018 wa kupokea  taarifa ya mwaka uliopita na kupanga mipango ya mwaka huu. Mkutano utafanyika tarehe 12/4/2019 katika ukumbi wa Kanisa la Lutheran Dodoma mjini kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Wanachama wote wanakaribishwa kushiriki ili kufanikisha malengo ya mkutano wetu.

The leadership of the Bible Society of Tanzania takes this privileged to announce and invite all its members to attend the Annually General meeting 2018 to receive reports for the previous year as well as plans for the year at hand. The meeting will be held in Lutheran conference Dodoma center, on 12 nd April 2019 at 8:00 am.

All members are invited so as to meet the meeting goal.

× How can I help you?