Tunakualika katika:

Uzinduzi wa Agano Jipya la Kiha

(INSEZERANO NSHASHA)

Karibu Ushiriki nasi

Jumapili, Novemba 22, 2020

Imetafsiriwa na Chama cha Biblia cha Tanzania

Mahali: Kanisa Katoliki Kasulu Mjini – Kigoma

Saa 03:00 Asubuhi – 08:00 Mchana

Tukio la bure kabisa

× How can I help you?