Please Subscribe our Monthly Newsletters

Get great contents delivered straight to your inbox everyday, just a click away, Sign Up Now
PLEASE NOTE: OUR ONLINE PAYMENT GATEWAY TRANSACTION IS NOT ACTIVE NOW, BUT WE ACCEPT MOBILE MONEY (M-PESA 890890) FOR OUR LOCAL TRANSACTION. PLEASE CONTACT US FOR MORE INFORMATION +255 (0) 765 530 892. THANKS!
Email address
First Name
Last Name
Phone Number
Secure and Spam free...

Read more

 Our news

Watu wazima 317 wajifunza kusoma, kuandika

 Na Anastazia Anyimike, Gairo – Morogoro Watu wazima 317 kati ya 423 kutoka vijiji 20 wameitimu mafunzo ya kusoma na kuandika kwa lugha ya Chikagulu. Akizungumza jana baada ya kukabidhi vyeti 89 kwa awamu ya kwanza ya wahitimu hao, Mratibu wa Chama cha Biblia cha Tanzania, Frank Makalla alisema wahitimu hao ni wa awamu ya […]


Wanakisomo wa Elimu ya watu wazima katika msemo wa Kikaguru

Na. Ndugu Frank Makalla (Msimamizi Mkuu wa Mradi-CBT). Chama Cha Biblia Cha Tanzania kilianzisha kisomo cha elimu ya watu wazima kwa kushirikiana na Chama Cha Biblia Cha Finland na SIL (Summer Institute of linguistic) mnamo mwaka 2017 na mwaka huo ulikuwa ni mwaka wa kuandaa vitabu kwa ajili ya wanakisomo wa elimu ya watu wazima […]


TAFSIRI YA BIBLIA KWA LUGHA YA KIRIMI YAFIKIA PAZURI

Kwa Ufupi: Kutokana na kikao cha mapitio ya maendeleo ya mradi wa tafsiri ya Biblia kwa Lugha ya Kirimi November 04-09, 2019, Mkoani Singida, Tafsri bingwa Dr.Samy Tioye  kutoka UBS athibitisha mradi huu kuendelea vizuri na umefikia hatua nzuri zaidi kwa hali hiyo Biblia ya Lugha ya Kirimi tunaitegemea iwe imekamilika 2020 December. Chama cha […]


MADARASA YA ELIMU YA WATU WAZIMA KWA LUGHA YA KIKAGULU {CHIBWEDA} AWAMU YA PILI GAIRO MKOANI MOROGORO.

MADARASA YA ELIMU YA WATU WAZIMA KWA LUGHA YA KIKAGULU {CHIBWEDA} AWAMU YA PILI GAIRO MKOANI MOROGORO. Mafundisho Moja ya juhudi zinazofanywa na waalimu katika madarasa ya Lwakikagulu. Maelekezo Mmoja wa waalimu wa Lwakikagulu akimuelekeza mwanafunzi kusoma na kuandika Lwakikagulu. Kujaribu Mmoja wa wanafunzi Wazee wa lugha ya Kikagulu akijifunza kuandika. Mazoezi Wanafunzi wa darasa […]


01 AUGUST 2019, CHARITY NEWSLETTERS /BARUA YA UPENDO YA KILA MWEZI

Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha hata atakapo kuwa mzee. [Mithali 22:6] Wapendwa Taifa la Mungu na wakristo wa Tanzania, malezi ni uangalizi wa karibu wa wazazi kwa mtoto wao kiroho, kiafya, kiakili, kitabia ili tuwe na Taifa imara na watu wanaomcha Mungu. Mungu alipomuumba Adamu na Hawa akasema “zaeni mkaongezeke…………[Mwanzo 1:28.]” Ni wajibu […]


Email Subscribers
Please log in to access the monthly newsletter

Please Subscribe our Monthly Newsletters

Get great contents delivered straight to your inbox everyday, just a click away, Sign Up Now
PLEASE NOTE: OUR ONLINE PAYMENT GATEWAY TRANSACTION IS NOT ACTIVE NOW, BUT WE ACCEPT MOBILE MONEY (M-PESA 890890) FOR OUR LOCAL TRANSACTION. PLEASE CONTACT US FOR MORE INFORMATION +255 (0) 765 530 892. THANKS!
Email address
First Name
Last Name
Phone Number
Secure and Spam free...