Prayer

Prayer binds us together. Wherever we live we can pray for the work for God’s Kingdom all over the world.  Join us as we focus on the prayer requests of particular Bible Societies each week. In the course of a year, prayers are said for every country and territory in which Bible work takes place.

Maombi ya Kila Siku

1.) Kumshukuru Mungu kwa Ulinzi wa siku zote katika maisha yetu.

2. ) Kuombea amani ya nchi yetu, viongozi wa nchi na ustawi wa Tanzania.

3. ) Kuombea wafanyakazi wote wa Chama cha Biblia, Afya zetu na Familia zetu.

4.) Kuwaombea viongozi wa Chama cha Biblia cha Tanzania na vyama vya Biblia vyote ulimwenguni.

5.) Kuombea Bodi ya Chama cha Biblia, Wanachama na wote wanaochangia fedha na ushauri.

6.) Kuombea uenezaji wa Maandiko.

7.) Kuombea Utunishaji wa mfuko wa Chama cha Biblia cha Tanzania (FUNDRISING).

8.) Kuombea majengo yetu ya Bible Tower, Nyumba zote na wapangaji wa CBT.

9.) Kuombea miradi ya Chama cha Biblia cha Tanzania.

i.) Trauma Healing

ii. )Tafsiri

iii.) Msamalia Mwema

iv.) Literacy

10.) Kuombea mchakato wa uzinduzi wa Biblia za Kisukuma na Agano jipya Kiha ili zipokelewe na kusomwa na walengwa.

11.) Kuombea mpango wa Biblia kwa wafungwa na watoto.

12.) Kuombea wanafuzi wa Shule na Vyuo vya kati na vya juu.

× How can I help you?