Mkutano Mkuu wa Chama Cha Biblia wa mwaka 2018 uliofanyika katika ukumbi wa Kanisa kuu la Kiinjili la Kirutheli Dayosisi ya Dodoma tarehe 12/4/2019.

MATUKIO KATIKA PICHA.

Viongozi wa Chama Cha Biblia Cha Tanzania wakijadiliana mambo mbalimbali kabla ya kuingia kwenye mkutano.

Viongozi wa Chama Cha Biblia Cha Tanzania wakijadiliana mambo mbalimbali kabla ya kuingia kwenye mkutano.

Watumishi wa Chama Cha Biblia Ndugu Choyo Sabanjakatikatina Neema Mathayo Kushoto wakiandikisha wajumbe wa mkutano mkuu wa mwaka 2018.

Watumishi wa Chama Cha Biblia Ndugu Choyo Sabanja(katikati)na Neema Mathayo (Kushoto) wakiandikisha wajumbe wa mkutano mkuu wa mwaka 2018.

Jaji mkuu Mstaafu wa Tanzania Mh.Augustino RamadhanikatikatiRev.Martina Kabisamakulia

Jaji mkuu Mstaafu wa Tanzania Mh.Augustino Ramadhani(katikati),Rev.Martina Kabisama(kulia) na Rev.Victoria Ntenga ambao ni wajumbe wa Bodi ya Chama Cha Biblia Cha Tanzania wakipitia Ajenda za Mkutano mkuu wa Chama.

Wajumbe wa Bodi ya Chama Cha Biblia Cha Tanzania Prof. Godfrey Majule Kushoto Prof. Godson Maanga na Askofu Amos Muagachi

Wajumbe wa Bodi ya Chama Cha Biblia Cha Tanzania Prof. Godfrey Majule (Kushoto), Prof. Godson Maanga na Askofu Amos Muagachi wakipitia kwa makini agenda za mkutano mkuu wa Chama Cha Biblia uliofanyika tarehe 12/4/2019 Dodoma.

 

Mjumbe wa Mkutano mkuu kutoka Mwanza Muinjilisti Sifaeli Mgema

Mjumbe wa Mkutano mkuu kutoka Mwanza Muinjilisti Sifaeli Mgema akichangia mada kwenye mkutano mkuu wa Chama Cha Biblia Cha Tanzania.

 

Mjumbe wa Mkutano mkuu kutoka Kigoma Fidelis Mbiha

Mjumbe wa Mkutano mkuu kutoka Kigoma Fidelis Mbiha akichangia mada kwenye mkutano mkuu wa Chama Cha Biblia Cha Tanzania

 

Mwenyekiti wa Bodi Rt Rev Mark.Marekanawa pili kutoka kuliaMakamu Mwenyekiti Rev.Dr .Jackson NyandaKatibu mkuu Alfred E.Kimonge

Viongozi wakuu wa Chama Cha Biblia Cha Tanzania Mwenyekiti wa Bodi Rt Rev. Mark Marekana(wa pili kutoka kulia),Makamu Mwenyekiti Rev.Dr.Jackson Nyanda,Katibu mkuu Alfred E.Kimonge (wa pili kushoto)na Mhazini Fr.Chesco P.Msaga wakijibu hoja za wajumbe kwenye Mkutano Mkuu wa mwaka 2018 uliofanyika katika ukumbi wa Kanisa kuu la Kiinjili la Kirutheli jijini Dodoma.

 

Mhazini mkuu wa Chama Cha Biblia Cha Tanzania Fr.Chesco P.Msaga

Mhazini mkuu wa Chama Cha Biblia Cha Tanzania Fr. Chesco P. Msaga akisoma taarifa ya fedha kwenye mkutano mkuu wa mwaka 2018.

 

Mchungaji Salum Isaka

Mchungaji Salum Isaka kutoka kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu akielezea jinsi Mradi wa Uponyaji wa Vidonda vya nafsi unavyowanufaisha wakimbizi kukabiliana na vidonda vya nafsi. Katika Mkutano Mkuu huo wa Mwaka 2018.

 

Askofu Amos Muagachi

Askofu Amos Muagachi akielezea taarifa ya uhamasishaji wa wanachama wapya wa Chama Cha Biblia Cha Tanzania kwenye mkutano mkuu wa mwaka 2018 uliofanyika terehe 12/4/2019.

 

Wanawake wa Kikagulu kutoka Gairo

Wanawake wa Kikagulu kutoka Gairo wakisoma kitabu cha CHIBWEDA kilichoandikwa kwa Lugha ya Kikagulu. Wakati Mkutano Mkuu wa Mwaka 2018.

 

Ndugu Frank makala

Wanawake wa Kigagulu kutoka Gairo wakisoma kitabu cha CHIBWEDA kilichoandikwa kwa Lugha yao wakiwa pamoja na Mratibu wa mpango wa wanawake kusoma na kuandika(LITERACY FOR WOMEN IN AFRICA) Ndugu Frank makala(kushoto). Wakati Mkutano Mkuu wa Mwaka 2018.

 

Meneja Shughuli Mchungaji John Mnongone

Meneja Shughuli Mchungaji John Mnong’one (kushoto) na mratibu wa miradi ya LITERACY na TRAUMA HEALING Ndugu Frank Makalla (katikati) wakifutilia yanayoendelea kwenye Mkutano Mkuu wa mwaka 2018.

 

wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma

Picha ya pamoja ya viongozi wa Chama Cha Biblia Cha Tanzania pamoja na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma waliojiandikisha kuwa wanachama wa Chama Cha Biblia Cha Tanzania.

 

Picha ya pamoja ya wakurugenzi wa Bodi na Menejimenti ya Chama Cha Biblia Cha Tanzania.

Picha ya pamoja ya wakurugenzi wa Bodi na Menejimenti ya Chama Cha Biblia Cha Tanzania.

 

Picha ya pamoja ya watumishi na wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama Cha Biblia wa mwaka 2018

Picha ya pamoja ya watumishi na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Biblia wa mwaka 2018 uliofanyika katika ukumbi wa Kanisa kuu la Kiinjili la Kirutheli Dayosisi ya Dodoma tarehe 12/4/2019.

× How can I help you?