MPANGO WA MSAMARIA MWEMA.
Katika kipindi cha mwaka 2020 kupitia mpango wa  Msamaria mwema Chama cha Biblia kiliweza kupata fedha kidogo kutoka UBS fedha iliyotuwezesha kutoa mafunzo ya UKIMWI kwa jamii kwa kushirikiana na [...]
Read More
MAHAFALI YA WAHITIMU WA CHIBWEDA AWAMU YA TATU GAIRO TAREHE 27/02/2021.
Na Felix Jones Wakagulu wapatao 756 wanawake wakiwa 550 na wanaume wakiwa 206 waliojiunga na mpango wa kujifunza kusoma na kuandika (LWA Kikagulu) mnamo tarehe 15/06/2020 hadi tarehe 30/11/2020 hatimaye [...]
Read More
Uzinduzi wa Agano Jipya la Kiha
Tunakualika katika: Uzinduzi wa Agano Jipya la Kiha (INSEZERANO NSHASHA) Karibu Ushiriki nasi Jumapili, Novemba 22, 2020 Imetafsiriwa na Chama cha Biblia cha Tanzania Mahali: Kanisa Katoliki Kasulu Mjini – [...]
Read More
HOTUBA YA DR. ALFRED E. KIMONGE KATIBU MKUU WA CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA: KWENYE…
Nawasalimu wote katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, na kipekee ninamsalimu Baba Askofu Nicholaus Nsanganzelu na wote waliongozana naye. Bwana Yesu apewe sifa. Ninazungumza kwa ridhaa ya Baraza la [...]
Read More
Hotuba ya Mch. Canon Prof. Aloo Osotsi Mojola. Mtaalamu wa Tafsiri Mstaafu wa Vyama vya…
Kama ilivyosomwa kwetu katika Ibada hiyo ya Uzinduzi na Askofu Julius Nyange Meneja Mstaafu wa Tafsri katika Chama cha Biblia cha Tanzania. Waheshimiwa Viongozi, Maaskofu, Mapadre, Wachungaji, Katibu Mkuu na [...]
Read More
Hotuba ya Mch. Canon Prof. Aloo Osotsi Mojola. Mtaalamu wa Tafsiri Mstaafu wa Vyama vya…
Kama ilivyosomwa kwetu katika Ibada hiyo ya Uzinduzi na Askofu Julius Nyange Meneja Mstaafu wa Tafsri katika Chama cha Biblia cha Tanzania. Waheshimiwa Maaskofu, Mwenyekiti wa Bodi ya Chama cha [...]
Read More
HOTUBA YA DR. ALFRED E. KIMONGE KATIBU MKUU WA CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA: KWENYE…
HOTUBA YA DR. ALFRED E. KIMONGE KATIBU MKUU WA CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA: KWENYE IBADA NA SHEREHE YA UZINDUZI WA BIBLIA YA KIVUNJO TAREHE 27 SEPTEMBA 2020   Nawasalimu [...]
Read More
HATIMAYE WAVUNJO WAPATA BIBLIA KAMILI
Baada ya miaka mingi, Wachaga wa Wavunjo, wapata Biblia katika lugha yao ya Kivunjo. Katika Sherehe  na Ibaada ya uzinduzi wa Biblia kwa Lugha ya Kivunjo zimefanyika katika Usharika wa [...]
Read More
MAHAFALI YA WAHITIMU WA CHIBWEDA MAGUBIKE TAREHE 19/09/2020.
MAHAFALI YA WAHITIMU WA CHIBWEDA MAGUBIKE TAREHE 19/09/2020. LWA Kikagulu wahitimu 248 waliomaliza na kufaulu mafunzo ya kusoma na kuandika katika awamu ya pili ya mahafali ambayo yalikuwa yafanyike tarehe [...]
Read More
Wafungwa, Mahabusu Dar wakabidhiwa Biblia Takatifu
Na Dalphina Rubyema WAKATI Chama cha Biblia cha Tanzania kikiwa kimetoa msaada wa Biblia Takatifu kwa wafungwa na mahabusu ya Magereza ya Segerea, Ukonga na Keko yote ya jijini Dar [...]
Read More
×

Praise the Lord Jesus Christ!

Click one of our representatives below to chat on WhatsApp or send us an email to fjones@biblesociety-tanzania.org

× How can I help you?