Tangazo Muhimu! Announcement!

Chama cha Biblia cha Tanzania kupitia uongozi wake, kinawatangazia  na kuwakaribisha wanachama wake wote wakiwemo wakurugenzi wa Bodi wa chama, wafanyakazi, na  wadhamini wake kuhudhuria mkutano  mkuu wa mwaka 2018 wa kupokea  taarifa ya mwaka uliopita na kupanga mipango ya mwaka huu. Mkutano utafanyika tarehe 12/4/2019 katika ukumbi wa Kanisa la Lutheran Dodoma mjini kuanzia Read More …