Category: Fundraisers

Wafungwa, Mahabusu Dar wakabidhiwa Biblia Takatifu
Na Dalphina Rubyema WAKATI Chama cha Biblia cha Tanzania kikiwa kimetoa msaada wa Biblia Takatifu kwa wafungwa na mahabusu ya Magereza ya Segerea, Ukonga na Keko yote ya jijini Dar [...]
Read More
01 AUGUST 2019, CHARITY NEWSLETTERS /BARUA YA UPENDO YA KILA MWEZI
Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha hata atakapo kuwa mzee. [Mithali 22:6] Wapendwa Taifa la Mungu na wakristo wa Tanzania, malezi ni uangalizi wa karibu wa wazazi kwa mtoto [...]
Read More
BARUA YA UPENDO YA KILA MWEZI YA CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA
CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA N0: 01 July 2019, NEWSLETTERS /BARUA YA UPENDO YA KILA MWEZI 16 Hatibu / 9th Road, Madukani Area, P.O Box 175, Dodoma Tanzania. || T: [...]
Read More
Wafungwa na Mahabusu wa Gereza la Kiomboi wapata Biblia.
Na: Canon Mwanamtwa: Hawa ni Askari wa Gereza la Kiomboi wakipokea Biblia kwa niaba ya Wafungwa na Mahabusu wa Gereza la Kiomboi lililopa katika Mkoa wa Singida wilaya ya Iramba. [...]
Read More
MKUTANO WA VIONGOZI WA MAKANISA YA KANDA YA KASKAZINI NA CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA…
Na: Felix Rwebandiza Jones. Kitengo cha Tehama. Wajumbe. Waliohudhuria walikuwa 36 kama inavyooneshwa hapa chini. 1. Wakurugenzi Chama cha Biblia cha Tanzania (Rev. Askofu Amosi Muhagachi ambaye ni Balozi wa [...]
Read More
Kifahamu Chama Cha Biblia cha Tanzania (CBT).
CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA KUWEZESHA UPATIKANAJI WA MAANDIKO MATAKATIFU KATIKA LUGHA INAYOELEWEKA VIZURI NA KWA BEI WANAYOIMUDU 1.Chama cha Biblia cha Tanzania ni nini? Chama cha Biblia cha Tanzania ni Shirika la Kikristo lisilo la Kidhehebu lililoandikishwa mwaka 1965  chini ya Sheria ya Udhamini wa Vyama. Chama cha Biblia cha Tanzania ni Mshiriki wa Muungano wa Vyama vya Biblia ulimwenguni ( United Bible Societies [...]
Read More
Tangazo kwa Wanachama Wote Wa Chama Cha Biblia cha Tanzania
Bwana wetu Yesu Kristo asifiwe sana… Watumishi wa Mungu..! Chama cha Biblia cha Tanzania…. Kina kukumbusha mchango wako wa uanachama wa kila mwaka. Na Mungu akubariki sana. Na namba ya [...]
Read More
CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA NA PROGRAMU YA BIBLIA MAGEREZANI
ZIARA KATIKA MAGEREZA YA MSALATO NA KONGWA DODOMA Moja kati ya wajibu muhimu kwa Chama cha Biblia cha Tanzania ni kuhakikisha kuwa watu wote wanapata fursa ya kupata maandiko matakatifu. [...]
Read More
Braille Bible portions and Audio Bible for people with visual disabilities in Dodoma region.
Project Summary People with visual impairment  are stigmatized and discriminated by the community in Tanzania;and therefore their needs  are given little attention.Dodoma is the leading region with higher number of visually [...]
Read More
Earthquake 5.7 Response for survivors and churches in Kagera
Author: Grace Smith, 12 May 2015 (Last updated: 14 May 2015)   Project Summary A violent earthquake measuring 5.7 on the Richter scale struck in Kagera region, in the far [...]
Read More
×

Praise the Lord Jesus Christ!

Click one of our representatives below to chat on WhatsApp or send us an email to fjones@biblesociety-tanzania.org

× How can I help you?