Category: Appeal

Kifahamu Chama Cha Biblia cha Tanzania (CBT).
CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA KUWEZESHA UPATIKANAJI WA MAANDIKO MATAKATIFU KATIKA LUGHA INAYOELEWEKA VIZURI NA KWA BEI WANAYOIMUDU 1.Chama cha Biblia cha Tanzania ni nini? Chama cha Biblia cha Tanzania ni Shirika la Kikristo lisilo la Kidhehebu lililoandikishwa mwaka 1965  chini ya Sheria ya Udhamini wa Vyama. Chama cha Biblia cha Tanzania ni Mshiriki wa Muungano wa Vyama vya Biblia ulimwenguni ( United Bible Societies [...]
Read More
Tangazo kwa Wanachama Wote Wa Chama Cha Biblia cha Tanzania
Bwana wetu Yesu Kristo asifiwe sana… Watumishi wa Mungu..! Chama cha Biblia cha Tanzania…. Kina kukumbusha mchango wako wa uanachama wa kila mwaka. Na Mungu akubariki sana. Na namba ya [...]
Read More
×

Praise the Lord Jesus Christ!

Click one of our representatives below to chat on WhatsApp or send us an email to fjones@biblesociety-tanzania.org

× How can I help you?